00B70F2
Screenshot_20231015-165532.png
 
Yaan ipo hivi..... Mpaka game ukiona imewekewa under 5.5 ujue wameshajua hiyo game (nature ya izo timu) zinauwezekano mkubwa wa kupata hayo magoli

Katika Hali ya Kawaida magoli 5 au 6 ni meng Sana kupatikana, ila ukiona kampuni imeweka hiyo option ujue uwezekano wa ww kuliwa kichwa upo


Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kitu kikubwa na muhimu sana.. ubarikiwe sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom