Vamooos punters.


_20231010_182224.JPG
 
mr pipa kuna mechi za kimataifa zinaanz kesho tuwekee treni tafadhali
yote yanawezekana tukianza kuchambua timu moja moja weka timu tuanzekuchambua ili tupate tren mana umoja ni nguvu lete timu 20 au 40 za kesho kila mmoja achambue yake tupate anza kuorodhisha mi nahaid kuchambua 6 na wengine wajitokeze dr mambo na yeye kwa kutumia bard google yake achague anazoziweza lengo tupate odd hata 500 uwezo wa kuchambua odd nyng upo isipokuwa naitaji muda wa kutosha
 
Kabla ya kuanza kufanya ubashiri tafadhali Zingatia haya

1. Kujifunza kuhusu timu na wachezaji: Ni muhimu kujua timu na wachezaji wanaoshiriki katika mchezo kabla ya kubashiri. Unaweza kuzingatia takwimu za awali, historia ya timu, uwezo wa wachezaji, na hali ya hewa ya eneo la mchezo.

2. Kutafuta taarifa muhimu: Inaweza kuwa taarifa za majeruhi, mabadiliko ya kocha au muundo wa timu, au hata hali ya kiakili ya wachezaji. Taarifa hizi zinaweza kuathiri matokeo ya mchezo.

3. Kufuatilia viwango vya ubashiri: Viwango hivi vinachukuliwa na makampuni ya kubashiri na hutumiwa kuamua uwezekano wa timu au matokeo ya mchezo. Kufuatilia viwango hivi kunaweza kukusaidia kupata maoni ya wataalamu wa kubashiri.

4. Kupanga bajeti yako: Kabla ya kuanza kubashiri, ni muhimu kupanga bajeti yako. Weka kiasi cha pesa unachotaka kutumia kwa kubashiri na usizidi kiasi hicho hata kama utafikiria mchezo utamalizika kwa tofauti kubwa.

5. Kufahamu jinsi ya kubashiri: Kabla ya kuanza kubashiri, ni muhimu kufahamu aina tofauti za ubashiri zinazopatikana. Kuwa na ufahamu wa kiasili cha kuweka dau la wastani, dau la juu, au kuweka dau kwenye mtu anayeshinda.

Kuzingatia mambo haya muhimu kunaweza kukusaidia kupata uzoefu mzuri na kuongeza uwezekano wa kupata faida zaidi katika kubashiri.
Umechukua kama yalivyo.

Nyongeza BAHATI inanafasi yake
 
yote yanawezekana tukianza kuchambua timu moja moja weka timu tuanzekuchambua ili tupate tren mana umoja ni nguvu lete timu 20 au 40 za kesho kila mmoja achambue yake tupate anza kuorodhisha mi nahaid kuchambua 6 na wengine wajitokeze dr mambo na yeye kwa kutumia bard google yake achague anazoziweza lengo tupate odd hata 500 uwezo wa kuchambua odd nyng upo isipokuwa naitaji muda wa kutosha
Hahah me nipewe Timu 8 TU Bhasi zikizidi hapo huwa siwez
 
Nenda kwenye Bard.google com..andika maelezo ya prediction kama unaweza andika kama mi nilivyoandika au vyovyote unaweka mechi zako na option unazotaka prediction unaweza ukawaomba wakuambie chxhte kile ni AI iliyo online tofauti na ChatGpt kwahyo maelezo yote watakupatia baada ya kurun algorism..

Kwa mfano unaweza andika hivi ....
please predicts these match and provide the correct score ,clean shots,number of cards,number of corner,Double chance ,score GG or No ,under and over ,win to nill, number of goals in both Half based on the stats, H2h ,Characteristics of the match, Properties of the match and other properties please predict for the latest game

pfk piestany vs spartak myjava
sama vs om al qutain
helsingborgs Of u21 vs halmstads bk u21
el sekka e hadid vs gazl kafr eldwar
Nyongeza hata kiswahil wanakuletea. Atumie tu lugha rafki kwake
 
C rrrvvcvvqqaCvcfvx xxbtzrfr cfvrvrfrvvfvrrcxftccccycccdebt ctr RBC debt ctr RBC vvvtvyvvtvttvfvvfvffvrfvvfvfvvfvrvrvfvttftcvtvtvtvvtcx SD Axx d ee x vdcx
 
unapokuwa admin wa group usijigambe sana NO CHANCE OF LOOSING. members wameshachoshwa na admins dizaini hii, code ikichana wanareact na dole la kati.
 

Attachments

  • watu hawataki masihara.jpg
    watu hawataki masihara.jpg
    4.7 KB · Views: 5
Najifariji na season kupoteza muda ,,, tatizo bando aisee,, zinalika kama maji ,,, dah halotel wataniua
 

Attachments

  • Screenshot_20231010-214558.png
    Screenshot_20231010-214558.png
    22.4 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom