kuna kitu tujaribu , kam unafatilia vzr ligi za brazil serie A , na argentina primera A zinatoa sana draw... vp tukitafuta mechi 8 tuu , za HT/FT X/X ambazo hua zina odds 4 , yan ukiwek sh 5 una milion zaidi ya 10.
Screenshot_20230904-064727_Chrome.jpg

mkuu ebu tupia treni lingine kama hili m niongeza kachana uyo peke yake lilikuwq linaisha kesho naona option hiyo inatoa sana.
 
Wakuu et naweza kupokea skirill pesa kutoka kwenye gambling site(Betting sites) kama linebet au betobet ikiwa Account yangu sija Verify?
 
Kuweka code nako ni Kubet vile vilee Unaokota code ya Odd 5 unaacha ya 1000+ kanji anakuonesha Kubet ni zaidi ya kujua timu.. Treni la jana mamaeee limeniumaa sana kuliacha yani nikiangalia Matreni karibu 30 plus niliyoyafata toka mwezi wa saba sijui no won daa..
 
Sio won hata cash out ya kukufariji hupati yaani zote unazocopy ni limeenda sana mechi 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom