eeh! azam amepata goli dk ya kwanza tu, shikamoo UCHAWI!azam fc anaweza kuwa ni mmoja wa bundi wengi watakaopeleka vilio siku ya leo....
mateee code ya mchana ni kilio ila tuko pamoja ngoja tupambane45D2774
BetpawaView attachment 2728431
Iko hivo NAKAZIA.betting bhana!!, betting ni vita ya wewe dhidi ya bots zenye uwezo mkubwa, na njama za bookmakers.
kadri unavyodevelop kwenye kuchambua mikeka, ndivyo unavyoona bado unatakiwa kujua zaidi. hatari!!
Huu moyo wa kucheza Salio kubwa kwa odds chini ya mbili mnautolea wapi?!!Bila shak hela hiiView attachment 2728511
leipzig apoView attachment 2728405
Probability 50%
Jifunze kitu kimoja kuhusu ujerumani. Wale si watu wa kwenda kichwa kichwa kwenye magoliKwa staili hii ukipiga 20mil ,,, jipe likizo japo wiki akili ikae sawa,,,,,
Rb anaenda kuua mabehewa dahView attachment 2728787
naona wanaongoza ukoKama namuona CHINO WANA MAN atakavyopita na mikeka ya watu Muda si mrefu!