Barikiwa mzeeCAC0B87
BetpawaView attachment 2728124
Mngeweka telegram uko ni jauKwann tusiwe na Group letu la whatsapp ni rahisi kupata notifications
mkuu treni la over 1.5 🤔
mkuu treni la over 1.5
Kwann tusiwe na Group letu la whatsapp ni rahisi kupata notifications
Tengukuwa na wazo la group la wasafwa wasinge tukuta alafu wanavotoa ushauri wawe wanaangalia na uzi una umri gani au mnasemaje wakuuJamiiForums kubwa kulko whatsapp huu uzi utaishi daima na daima na tutapata new member daima na daima
Tengenenezeni mabehewa ya kupiga kuanzia m20 kwenda juu, siku ukiotea utaishi kama mfalme.
🤣🤣🤣 acha tuamini bhana,,, umasikini upungue na hamasa iongezekeYaani mnamuamini?
Kwenye Chelsea hapo 🤣🤣🤣Meridian bet
BetbuilderView attachment 2728210