255734047784_status_2178cf2c35ce4590939bd24c8c366f59.jpg
 
64milioni mkuu haikutoshi....
inatosha tena ni nyingi kwa kias chake sema nini comment zangu za mwanzo nilisema kanji ajipange kwahiyo sina wasiwas hata kidogo update mtapata j mos saa sita usiku kama watanitangaza mtaniona kwenye tv tokea hapo ndio nitaanza kutoa code hapa kanji kaniletea dharau sana nimemchoka wale walio nifuatilia kipind kirefu wamenielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom