Jaribuni hii
1000240925.jpg
 
Unakata coz hujawai kuona wala haijawai kukutokea kwaiyo unahaki kukata
Mtu anayeweka stake kuanzia 50k kwa timu tatu au 2 akija kulalamika hiyo issue inamtokea ntaanza kuamini lakin wewe unaeweka timu 60 alafu stake 100 siwezi kuamini nakataa maisha , kama kubadilishiwa matokea wangekua wanabadilisha wale wenye mitaji ya maana na wanaowaliza betpawa kila siku
 
Watu wa namna hii ni wengi sana , kwann usipige screenshot ukawa na ushahidi? Na kwann wakubadilishie timu ukiachana na betPawa hakuna kampuni yoyote ya betting Kwa Karne hii inaweza kufanya hivyo

Hapo hata ukienda Gaming board wanakupotezea maana hakuna evidence
 
Sometimes mtu anakua anabet huku kichwa kinawaza vitu tofauti kabisa badae mkeka ukichanika anasema amebadilishiwa matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom