Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,703
- 5,635
Wydad vs Simba Over 0.5HT and Over 1HT, Tia pesa,tukutane kwa wakala.
Huyu jamaa yupoWydad vs Simba Over 0.5HT and Over 1HT, Tia pesa,tukutane kwa wakala.
Hahaaa....nipo MkuuHuyu jamaa yupo
Yeye hapo anataka mbet yeye atarudisha pesa zakeDiamond ni mse.nge sana aisee
kabeti simba ashinda kwa kutumia wasafibet
ZERO RISK...
View attachment 2602744
Dah kitambo sana mzee enzi hizo ww na deepond mlitisha sana aisee ilikua saiv thread ishakua ya misemo tuuHahaaa....nipo Mkuu
Nikasema nitembee na upepo wako nikaamua kujilipua na 10k lakini holaa, game ya kwanza tu chali.!
Salam kwenu wakuu
Weekend hii kuna mambo mawili
kuna kula sana ama kuliwa sana
Angalizo usidharau chochote.
IKUMBUKWE
Mimi si mganga,mchawi au mtu wa falaki.
Weekend njema Na majukumu mema
Epuka kudandia mtumbwi wa vibwengoHodi humu, atokee mtu anifundishe kubet, maana leo nina matokeo ya mwarabu dah ningeweka hela nyingi nishinde
Ingia sporty bet Click over 2.5 goals weka Hela yote ya vikoba💯Hodi humu, atokee mtu anifundishe kubet, maana leo nina matokeo ya mwarabu dah ningeweka hela nyingi nishinde 😞😞😞😞
Sijawahi shiriki vikoba sasa. Hii hela ningeweka ipo tu inahang.... asanteIngia sporty bet Click over 2.5 goals weka Hela yote ya vikoba💯
Au aende mechi ya simba na wydad aeke correct score 3 3 kisha aeke hiyo hela na ikiwezekan akupe na nyengine kwa jiraniIngia sporty bet Click over 2.5 goals weka Hela yote ya vikoba💯
It's all about branding the combanyDiamond ni mse.nge sana aisee😂😂
kabeti simba ashinda kwa kutumia wasafibet😂😂😂
ZERO RISK...
View attachment 2602744