othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,673
- 9,066
Treni lipo imara mkamalia Sasa tunaitafuta makutopolaMkamalia naona wajapan wanaenda kaliangusha treni
Treni lipo imara mkamalia Sasa tunaitafuta makutopolaMkamalia naona wajapan wanaenda kaliangusha treni
Pamoja hatuna wasi lazima kesho tufike kigomaumeona 4+ imeenda. Utulie uombee mkeka acha wasiwasi
Nimeedit huo wakoKampuni?
Sawa mkuunapoli wameishachukua ubingwa alafu wanagame ngumu jumanne ya UCL dhidi
ya milan,so leo wanaweza wakapumzisha wachezaji wengi...
Sawa mkuumwondoe napoli, ana kimeo jumanne na ligi ashachukua
9752B20
Betpawa
Huu mzigo ukitia 10k ikashinda unakiwanja mbezi
Hata mliompa DortmundMliompa ac Milan pesa zenu ebu nenden mkakesh out
Napoli ligi amechukuaje ? Wakati amemuacha lazio point 13 , na ligi bado mechi 9 mabazo ni point 27 ?mwondoe napoli, ana kimeo jumanne na ligi ashachukua
SAFARI YA MATUMAINI
Mpaka muda huu matreni yanaendelea kusongaView attachment 2588324View attachment 2588325
Mkamalia hili treni likitufikisha tabora itabidi nishukeTreni lipo imara mkamalia Sasa tunaitafuta makutopola
dortmound ana tatizo gani?Hata mliompa Dortmund
mkuu kilichobaki ni ratiba tu, ila usimpe mzigo napoli leo wakat jumanne ana kimeoNapoli ligi amechukuaje ? Wakati amemuacha lazio point 13 , na ligi bado mechi 9 mabazo ni point 27 ?
View attachment 2588210
Ukichanika nakurudishia hela yako
BB7EAC5 weka hata mke
Sportybety