kingchillo2009
Member
- Sep 25, 2020
- 69
- 88
1x Bet
Codes Basketball
24XIK
SBYIK
Codes Basketball
24XIK
SBYIK
Muhindi anarudisha hela zake za jana na juzi mikeka 20 imebak mi 3Binafsi nmechoka, leo sio bahati yangu, code naanza kuchukua kesho ila kwa leo imetosha.
Mbona incorrect code1x Bet
Codes Basketball
24XIK
SBYIK
Nshaiona ni majonzi kwakweliChungulia uone surprise
Mbona incorrect code1x Bet
Codes Basketball
24XIK
SBYIK
Mapambano yaendelee 🤣Muhindi anarudisha hela zake za jana na juzi mikeka 20 imebak mi 3
Usiseme hivuo mwenzio nimestake laki halafu naona jamaa washarudisha goli mbiliARSENAL:-
Yaani hiii Mechi watu hata hatuna mzuka nayo,maana ni Sawa na maiti kufufuka mortuary.
Kesho nayo cku tuanze upyaMapambano yaendelee
Mechi nzima goli moja tu limekosekana😭 ,,hilo treni lilikuwa tamu sanaKuna SGR yangu ilikua inaendelea vizuri ila Leo imedondoshwa na Newcastle kizembe sana najua kukataa Ile sauti iliyokiwa inaniambia ni cash out
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Kesho ni mwendo wa ku-deposit mana mtaji umeisha 😭Nshaiona ni majonzi kwakweli
Mm yote tyr imechanikaMi nimesalia na mmoja tu Chelsea akifa na wenyewe chwaa au akidroo,,, maana kabaki yeye tu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Me ilibaki kidogo kesho ni mwendo wa 50 50 tu leo nlibet kitajiriKesho ni mwendo wa ku-deposit mana mtaji umeisha
Hahahahah, tatizo liko wapi?sasa Mkeka wa Buku 8 unaweka JF wa nini??khaaaa
Mkuu imebaki hiyo moja tu ya basketball, live scr siipatiUsitoe, mkeka utatawin halafu utajilaumu mkuu
ngojea kwanza nicheke Leo nimecopy code zote za huku lakini mikeka imechanika karibia yote . yaani Leo kanji kwake ndio anasema mikeka ndio imetiki. ila hata km nimekuwa ndoige zakutosha lakini sijakata tamaa. pingine hii ya mwisho na hiyo iliyobaki ndio itatusua1006A27 sportybet
693714