At least arsenal kaokoa jahazi.... Football ngumu sana... Let's wait 🏀 portland trail/hornets...... Mbungi ngumu sana hasa footballBaada ya genk kutulaza na viatu,...nati zilizoshikilia tairi imebaki MOJA tu arsenal....
Duuu kwaiyo umekula milion mpya 👏👍
3BB2EA8 bet pawa ods 6
match saba odd 900+, share nasi option ulizotumia tujaribuNajuta kwanini niliweka tsh mia tuView attachment 2459259
8EF663C BETPAWA, mie nimempa angalau apate goli moja kuna odds 2.16...sijui kwanini wamempa hivi maana wanauwiano unaoshabihiana kwa magoli ya kufunga na kufungwa!Wakuu hizi odds za Shenzhen weka hata jero single betView attachment 2459525
Hata pointi za msimamo home team anazo nyingi8EF663C BETPAWA, mie nimempa angalau apate goli moja kuna odds 2.16...sijui kwanini wamempa hivi maana wanauwiano unaoshabihiana kwa magoli ya kufunga na kufungwa!
Yaani betting unatakiwa uangalie hizi timu, kuna siku timu moja inaitwa Antigua ya Guatamala waliipa odds 6 alafu mpinzani amepewa odds 1 na point wakati Antigua yupo juu. Alishinda na niliruka nae ila ilichana timu nyingineHata pointi za msimamo home team anazo nyingi
Man u anakuchania mkekaTuondoke na Mimi.
7B3DFF6
Odds 2
BETPAWA
Sawa,bet uwezavyo mkuuMan u anakuchania mkeka