No sure ods ina itaj bahat kaa tulia tips zina kujaWakuu nina 10k hapa nahitaji odds kama 5 za uhakika nianze kutafuta mtaji
Mkuu code Gani hiyo ilitoa? Mimi niliweka mikeka codes zote 12 , jumala Kumi na NNE pamoja na ya bet power miwili, Ila all in all tukianguka tunaanguka wote na tukiamka tunaamka wote , nasubili ya Leo mkuu.Code moja ilitoaView attachment 2438278
HIYO MIKEKA NILIPOST USIKUMkuu code Gani hiyo ilitoa? Mimi niliweka mikeka codes zote 12 , jumala Kumi na NNE pamoja na ya bet power miwili, Ila all in all tukianguka tunaanguka wote na tukiamka tunaamka wote , nasubili ya Leo mkuu.
Dah sema tanesco walinilaza bila chaji umeme unarudi asubuhi code tutazionea wapiHIYO MIKEKA NILIPOST USIKU
Hii game ya leo naachana nayo maana kocha wa Argentina ni kichaa haaminikiNikama kanji ana cheza na akili zawatu ana faham tumesha kua waoga laki mimi nakufa naeView attachment 2438325
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
SpotybetNisaidien wadau naulizia app Yenye cash out nzuri na ambayo haizingui
Yanga mpe Win au win or drawwakuu nataka kuzipa
pramid win
singda win
alhaly win zamalek draw,yanga draw
huu mkeka upo vipi wadau
Huu ulikuwa wanacheza kwa mikono wanarushiana sio kwa migoli hiyo😅 56, 57
Hayo machache sana zenji yanafika mpaka 30Huu ulikuwa wanacheza kwa mikono wanarushiana sio kwa migoli hiyo 56, 57