Kwa codes za Bigboi itanilazimu sasa nisajili laini ya voda kwa ajili ya miamala huko Sportybet maana ndo big anapapenda. Na Sportybet wanafanya kazi na mitandao mitatu tu, Voda,tigo na Airtel.
Betpawa ndo wanafanya na mitandao yote so huwa nachukua codes za Betpawa tu. Ikitokea ya betpawa imechana halafu humu mmekula mliochukua codes za Sportybet naumia kusema la ukweli kwa nini nimekosa ya supu aisee. Ngoja,vilio sasa basi.

Bigboi Mungu akutunze
alafu ukihamia Sportybet huku nyuma betpawa mikeka anayopost inaanza kutoa! (jokes)
 
Let's wait and see
 
Attachments

  • Screenshot_20221205-110925.jpg
    Screenshot_20221205-110925.jpg
    31.1 KB · Views: 3
Mzee
Game ya Azam unaiangalia vipi leo.. anaweza kutoboa kweli
Hizi mechi za kibongo huwa utata sana ukizingatia Polisi amepoteza mechi 2 mfululizo na wana ujio wa Mwinyi Zahera, huenda game ikawa ngumu pamoja na kwamba AZAM anafanya vizuri. Naona kama Double chance, AZAM win/draw vinginevyo ni kujilipua kwa kigezo cha AZAM yupo kwenye form na kutaka kufuta uteja kwa Polisi
 
Binafsi kwa kuangalia mchezo dhidi ya Simba kwenye uwanja wa ushirika,, police wanacheza sasa na uwanja unaruhusu wachezaji kujimwaga bonge moja la pitch kibongobongo,,,,
Police wanafunguka sana cjajua leo wataingiaje ila naona GG ,,, azam wakikaa vibaya wanapoteza,,,, kama wataingia kama walivyocheza na Simba na kuweka umakini kwenye viungo wakabaji wao

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
99176F SPORTYBET ......🏀🏀⚽⚽ Cocktail Code

Angalizo! Nimeweka timu zenye uwezo wa kutoa matokeo tarajiwa KWA asilimia kubwa...

Nimeweka timu 13 code MOJA ..unaweza kuitohoa na kupata code 3 ama zaidi upendavyo.
 
Yaani mtu unastake kwenye odds 3 au mbili na unajilipua ila unaangukia pua, fulu kuchubuka,,, alafu unakutana na odds mlima mlima mtu kastake 100,, 200,, 500 au buku dah!!
Hii ishu basi tu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Betting ukifanya Kwa starehe ni mzuri Sana kuliko ukitaka kufanya kama mtaji wa kupata ela ya biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom