Makampuni ya Betting:-

Yaani baada ya kuona vigogo vimekaziwa na kukaziana leo.

Odds za Mchana na muda huu zimebadilika pakubwa mnoo,wamehisi kitu

Ngoja na sie tuende huko mnakohisi kinyume chake
 
Asee Mimi ningekuwa refa ningepiga mhindi kwenye option ya dakika za nyongeza afu naweka mzigo wa maana.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Washukuru hizo option zipo mbelez tu you know. Laiti kama zingekuwa ligi ya kwetu huku kwa akina frank komba, mhindi angejuta kutufahamu. Unaenda zako bank unakopa kabisa hela, unampa frank komba chake, halafu unamwambia first half usiongeze hata dakika 1. Hawa marefa wetu hawashindwi hata kama kuna dakika zilipotea.

Au unaongea na Mwambusi afanye sub kipindi cha kwanza, unaweka nyumba ya urithi.
 
Wakuu site Zipi unaweza bet kuanzia million kwenda juu
Betting inahitaji nidhamu na kujipima upepo,,,, usichukue stori za kijiweni ukajikuta unakopa au unatumia pesa yako ya malengo ukaizamisha kwa mara Moja!
Utaichukia betting!!

Vijiwe vina stori nyingi sana stake wisely!!! Karibu kwenye betting

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom