Tuandae msiba wale wa 2+ ubelgiji hamna kitu
Lost tujaribu kesho nayo sikuBelgium 🇧🇪 vs Canada 🇨🇦
Over 9.5 Corners @ 1,85
50,000 X 1.85=83,250
Dhumuni, ni kupata matokeo Chanya ya mechi kabla hazijaanza
Kweli kabisa hakuna mbinu nyingine yoyote ile , mbinu ya namna yeyote ile???
haha hongera mkuu, manake leo hali imekua si hali
Tena hao serbia wako vizuri sama'Game za suprise ya kushangaza watu kesho...
portugal vs Ghana, Brazil vs serbia
Ziangalieni mara mbilimbili
Mwanamke Mjasiriamali hongera Sana