Tujaribu
 
Attachments

  • Screenshot_20220626-175222.jpg
    Screenshot_20220626-175222.jpg
    63.6 KB · Views: 12
Mm nadhani ni kheri uache tu kupost hii mikeka yako ya won kama hauwezi kushare codes na wana

Au kama una uza tickets, sema bei yako wenye uhitaji wa kushinda ni wengi sana

jiulize ww mwnyw mchango wako ni nin kwenye huu uzi wa watafutaji, kama sio kuringishia wana, sio pigo za kiume kabisa ukifikiria kiuanaume utanielewa

Huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji, wanaume wanaoshirikiana kutafuta mkate daily

Think like a man, neno langu si sheria, kama hauwezi kushare tickets na watafutaji wenzako basi hata hizo Won tickets usiziweke huku, hakuna anayefurahia trust me
 
Hawezi kukuelewa huyo,
Tulishaamua kumpuuza.
Madai yake anafanya hivyo kuringishia. Sasa ukishaona Mwanaume ana tabia za kuringishia vitu ni kumkwepa ili usije kuhusishwa nae.
 
Mm nadhani ni kheri uache tu kupost hii mikeka yako ya won kama hauwezi kushare codes na wana

Au kama una uza tickets, sema bei yako wenye uhitaji wa kushinda ni wengi sana

jiulize ww mwnyw mchango wako ni nin kwenye huu uzi wa watafutaji, kama sio kuringishia wana, sio pigo za kiume kabisa ukifikiria kiuanaume utanielewa

Huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji, wanaume wanaoshirikiana kutafuta mkate daily

Think like a man, neno langu si sheria, kama hauwezi kushare tickets na watafutaji wenzako basi hata hizo Won tickets usiziweke huku, hakuna anayefurahia trust me
Kama ana akili kakuelewa.
 
Vipi unakereka na hizo WON?? haya embu chukua wewe hiyo mechi moja bet hivyo unavyosema,leta code hapa na iwe WON kilasiku. We unashindwa nini kufanya hivyo? Mbona huleti code yako hapa?. Mtaji wako ni mdogo hiyo odd ya 1.06 haikufai hivyo pita kuleee kushoto.Acha uchawi nikaanza kulost .Watu hatuwezi kufanana na sio kilakitu kinamfaa kilamtu.

IMG_3943.jpg
 
Mm nadhani ni kheri uache tu kupost hii mikeka yako ya won kama hauwezi kushare codes na wana

Au kama una uza tickets, sema bei yako wenye uhitaji wa kushinda ni wengi sana

jiulize ww mwnyw mchango wako ni nin kwenye huu uzi wa watafutaji, kama sio kuringishia wana, sio pigo za kiume kabisa ukifikiria kiuanaume utanielewa

Huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji, wanaume wanaoshirikiana kutafuta mkate daily

Think like a man, neno langu si sheria, kama hauwezi kushare tickets na watafutaji wenzako basi hata hizo Won tickets usiziweke huku, hakuna anayefurahia trust me
Hapana bana usipangie mtu cha kufanya...

Won ni motivator kwa ambao wamepiteza

Mwanaume tafuta na tumia akili yako, usipende tafuniwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom