Kama kwenye hii tasnia upo kitambo kuna hiki kitu

Timu ikishatangazwa kuwa bingwa
Inaingia uwanjani kucheza bonanza tu

2018 PSG alipigwa na metz akaninyima mkwanja

2018 hio man u alipigwa na cardif 2-0 hii ilikuwa mechi ya mwisho cardif ashuke to championship

Tunajifunza nini sasa
Timu ikishachukua ubingwa betia magoli sio direct win
Basi hiyo siku tulipigwa pamoja. Nakumbuka cardif walicheza mpira utafikiri kuna kitu wanakitafuta.
 
.pending-1651946163-Screenshot_20220430-194728_Samsung%20Internet~2.jpg
 
Laki saba na hamsini ....


Asee...


Kwenye odds 2.


Hakika Mungu katuumba tofauti sana.
Mkuu @stevenMollel, Salaams.

Kuna mwanabodi hapo juu alisema moja ya nguzo kuu ya Kamari ni kuwa na Imani. Mdau hapo Imani yake ilimwambia hizo odds 2 ni sure, hivyo. Akatupia 750K. alikuwa na IMANI.

Mfano,leo nliamini timu ya Gimnasia itapata goli sita na zaidi, nikaweka pesa.

So kikubwa ni IMANI + Mengineyo......
Screenshot_20220430-050532~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom