Mkuu ulistake au ulichukua ushauri wangu?

Niliutupa kapuni nikamfuata live 2half
IMG_4765.jpg
 
BCDUXA5
Sportybet - 38 Odds
12 games

Nataka nistake 2500 kwa direct win. Kwa yeyote atakayeichek code anaeza nisahihisha pia
 
Simba kufungwa na Mbeya City imekua sasa watu wanaichukulia Simba kama Coastal union

Mtibwa anaweza kufungwa hata game nne mfululizo na asishuke daraja lakini sio Simba kufungwa mfululizo mara mbili na ategemee ubingwa mbele ya Yanga
Bob hawa wanapigana vita mbili tofauti kabisa

Weka mzigo Simba win
Akifungwa screenshot mkeka nikurudishie stake yako
Mh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom