mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,173
- 2,874
Daah kweli timu yangu imeshuka hadhi ,yaan Hadi kuibetia watu wanaweka dought !!!Kwa simba hapo mhhhhhh, pagumu
Daah kweli timu yangu imeshuka hadhi ,yaan Hadi kuibetia watu wanaweka dought !!!Kwa simba hapo mhhhhhh, pagumu
Tupo hapa.Simba kufungwa na Mbeya City imekua sasa watu wanaichukulia Simba kama Coastal union
Mtibwa anaweza kufungwa hata game nne mfululizo na asishuke daraja lakini sio Simba kufungwa mfululizo mara mbili na ategemee ubingwa mbele ya Yanga
Bob hawa wanapigana vita mbili tofauti kabisa
Weka mzigo Simba win
Akifungwa screenshot mkeka nikurudishie stake yako
Nakumbuka niliwahi kukwambia kuwa zote zitamrudia.Hapa nikutafuta tu kibubu cha chuma, nilikuwa najidanganya kila siku natoa teni kanji kapitanayo yoteView attachment 2090447
huu mgumu22bet
Live
6C8NJ
Wewe jamaa ni shabiki wa yanga ,usituletee uyanga wako kwenye kubet Leo ni either mtibwa afe au afungwe hakuna namna nyingine....Unaposema kwa gharama yoyote unamaanisha nini mkuu?? Hizo gharama hazikutumika kwenye game na Mbeya City?? Pamoja na yote mpira huamuliwa uwanjani, unaweza pewa penati ukakosa, ukapewa faida ya kadi nyekundu na bado ukapoteza. Usibet kwa staili hiyo mkuu. Mtibwa yuko nafasi ya 13 na ana hali mbaya, busta yake ni point 3 za leo, Simba nae anataka kusawazisha makosa ya game iliyopita, na ataingia kwa pupa ili kuonesha kuwa game iliyopita aliteleza tu, hapo ndipo Mtibwa wanatangulia na Goli 2. Hii game akili yangu inakataa kumpa SIMBA.
Mkuu umawajua wahuni wa Atalanta vizuri?Lazio anakufa tena kifo kitakatifuAisee Atalanta vs Lazio ya Maurio Sarri? Halafu away ?
Hao jamaa wako vyema sana ila shida yao hawajuagi kukaba.Mkuu umawajua wahuni wa Atalanta vizuri?Lazio anakufa tena kifo kitakatifu
Siku 14 kwa mwezi ! Hapo unamaanisha nini mkuu? Ntatumia siku 14 pekee katika mwezi na hizo siku zilizobaki nitatakiwa kujiunga vifurushi vingine ??Gb za tgo bado zipo mwenye uhitaji njoo pm chapu gb 72 Kwa mwaka mzima ambapo kila mwez utapata gb 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima
Njoo pm chap
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
22bet
Live
6C8NJ
huu mgumu
Simba anashinda vizuri tu huyo jamaa atakuwa ni agent wa kanji bilashaka Yani siku Simba anapoteza wanakaa kimya wajinga sana leo Nampa Simba ushindiWewe jamaa ni shabiki wa yanga ,usituletee uyanga wako kwenye kubet Leo ni either mtibwa afe au afungwe hakuna namna nyingine....
yaani,,,we acha kabisa mkuu.Kubeti sometimes ni kama uchawi,unaweza kubeti game nane but game moja ikachafua na unaweza kubeti game mbili nako game moja ikachana mkeka.