Mkuu siamin kama nimetumia pesa mingi hivyo kwenye kamali wakat hyo cash sijawah miliki...Nachanganyikiwa sasa ili pesa yangu irudi nimehamia kwenye jacport napo nachezea mijeledi isiyo ya kawaida..yaani imefika mahali nimekariri kumbukumbu namba za makampuni zaidi ya tano...cha ajabu hakuna hata kampuni moja lililo nikumbuka..ni fedhea hii
Huko ndiko mavuno ya kanji, utafumuliwa hadi upagawe. Jiwekee kanuni zako, aina ya bet, idadi ya bet na kiasi cha juu cha kubet.
Mf. Mimi zamani nilikuwa nastake hadi 500k ila kwa odds ambazo hazizidi 2.2 lkn nikaona nakula vichapo vizito, nikashuka mpaka sasa nipo kwenye 1000 - 20000 kwa mkeka mmoja kutegemeana na idadi ya timu na odds husika.

Unachotakiwa kufanya ni kujiwekea Mkeka wa odds ndogo, mkeka wa odds za kati, na zile Treni.
Unaweza kuamua kwa siku mikeka isizidi 5 na jumla ya pesa isizidi 10000 kwa mikeka yote, na wakati huo mkeka wenye odds chache ndio ukichukua % kubwa ya hiyo pesa na kuendelea.

Hii itakupunguzia machungu makali, maana 70% ya mikeka yenye odds ndogo hutoa, sema binadamu tunajawa na tamaa.
 
Ulichonena ni sahihi kabisaa lakini nakuhakikishia yaani Kanjibahi Mbinguni atapasikia tuu...Amin nakuambia
 
Hapana hii sasa sio haki...
Screenshot_20220121-134123_FlashScore.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom