Screenshot_20220119-141102.png
 
Wazee wa betika vip

Mbona jamaa wanazingua kujiunga,shida nn
Wanasema ni ressert pasiword ili acc yangu iwe active

Lkn nafanya hivo naona vurugu,hebu tusaidiane wadau kama wapo watu wanaocheza betika humu
 
nikajua Dortmund walipanga kikosi B kumbe kikosi chote kilikuwa ndani ,hapa kuna upangaji wa matokeo sio bure
St.Pauli anaongoza bundesliga 2 na huwa anafunga sana goli..so obviously ulitakiwa utegemee close tight match, best option was over 1.5/2.5. Cup games mara nyingi huwa na upsets...underdogs huwavunga vigogo either kwa kukamia au vigogo kupanga vikosi vya pili...option nzuri kucheza ni magoli au unaedhani anaweza kufuzu next round maana wakati mwingine hutoa suluhu ktk dk 90
 
Uchawi upo aisee, kama sio kupanga matokeo ... wtf*** ..

Yani hawa washkaji Quarters zote hakuna wanepiga chini ya 54 ... lkn Q4 wamepiga vikapu 30 tu ... na dk zilikuwa zinayoyoma km moto wa karatasi mamaee ...

40K imeenda kwa kukosekana vikapu viwili tu. Duuh !!!

Screenshot_20220120-065037_FlashScore.jpg
Screenshot_20220120-065106_1xBet.jpg


Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom