Kwani mkibetia kampuni nyingine zilizosajiliwa bongo Kuna shida Gani Yani Mimi siwezi kuweka hela kwenye sehem za kipuuzi kama hizo Kisa kukwepa Kodi. Kwanza naskia ukifanya update hela zote wanachukua
Mkuu sio kwamba tunakimbia kodi tu
Makampuni mengi ya kibongo tena yale pendwa kama Betpawa na M-bet wana masoko machache sana na wanabana sana options zao na wana ligi chache

Mfano toka Dec mwanzoni nilikuza mtaji toka elf50 hadi laki 3
Nimetoa nimebakisha laki moja
Kila siku nacheza game mbili tu No Own Goal odd 1.07 na No unconverted penalty odd 1.05 na stake laki napata elf10 daily labda siku hiyo pasiwepo ligi kubwa
Huwa nakwenda hadi mwezi na zaidi kabla sija LOST
Sahau kitu kama hiki kwenye Betpawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom