Gasper mapile
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 195
- 87
Wakuu naomba ushauri kabla cjajilipuaHongera japo umechanika mkuu uko vzr
Wakuu naomba ushauri kabla cjajilipuaHongera japo umechanika mkuu uko vzr
Sawa akija tushituane kakaSawa mkuu nausubil
Kama nilivyowaambia wadau ule mkakati wangu wakujenga kupitia betting ndo naanza leo kama utataka kwenda namimi unakaribishwa Mimi naanza na 30k ngoja niingie ibada nikitoka nitashea mkeka hapa
Mzee baba si uliaga unaondoka jf na hautarudi?🥵🥵Kiongozi usinipite tuko macho👀
Mkuu, share hizi teams, wengine tunatumia platform tofauti
dah nimeifatilia chif ila nadhan haijafikia huku kwetu mkuuWakuu nani anatumia MELBET.....hii kampuni ipo registered Tanzania?
Ilishakuwepo huku hadi payment method za mitandao ya tz ilikuwepo mwaka juzi sema baadae wakaondoa. Nishatumiaga sana.dah nimeifatilia chif ila nadhan haijafikia huku kwetu mkuu
Okay mkuu....asante kwa taarifaIlishakuwepo huku hadi payment method za mitandao ya tz ilikuwepo mwaka juzi sema baadae wakaondoa. Nishatumiaga sana.
Alg mapema amekupiga KOJamani tusije tukalaumiana 6D84200View attachment 2076700
HahahaaaaHii AFCON itafirisi watu
Afcon miaka yote niliyoshuhudia, round ya kwanza magoli ni machache sana, hayazidi ma 4, na draw za 0-0 hutawala sana, magoli huwa yanaanza tim zinavoanza kucheza mechi zao za pili... Kuna mwaka draw za 0-0 zilifululiza raundi ya kwanza yoteKuna m2 alisema AFCON kdg walau kucheza under 3.5 au 2.5
Kanjibahi ukiweka hela nyingi tu, anasepa nayo