HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,529
- 94,993
Saa2:15Simba anacheza saa ngapi mkuu?
Saa2:15Simba anacheza saa ngapi mkuu?
Ni kwa voda tu tigo hauna mkuu.?wazee wa GB
Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
BILA SHAKA NI MITANDAO YOTE HADI ZANTEL KAMA ALIVYO ANDIKA HAPO JUU.Ni kwa voda tu tigo hauna mkuu.?
Ipo mkuu Ila ni tofauti kidgoNi kwa voda tu tigo hauna mkuu.?
😅😅BILA SHAKA NI MITANDAO YOTE HADI ZANTEL KAMA ALIVYO ANDIKA HAPO JUU.
Promo At work..
I-K
Gb 72 kwa mwaka mzima kila mwezi unapata gb 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima.Mchanganuo wake umekaaje aisee.?
Asante,hapo kwenye commentary nimepata vyote nilivyohitaji kwa ligi kubwa
Baada ya kuona hiyo team ya kwanza imezingua, nika u twist huu mkeka, Mungu mkubwa nimerudisha mtaji na faida..Msiseme sijawaambia....!!View attachment 2076234
Kuna kitu cha ajabu kitatokea ni swala la muda tuHizi mechi za AFCON, hazina magoli mengi ... Double chance & Under 3.5 ni option bora sn.
i.e. 1X&U3.5 au X2&U3.5
Mm wacha nilale na mechi za Australian Open Qualification:
SportyBet: BCDKMMN
Odds 49+
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kampuni gani inatoa combination bet ya hivo mkuu?Hizi mechi za AFCON, hazina magoli mengi ... Double chance & Under 3.5 ni option bora sn.
i.e. 1X&U3.5 au X2&U3.5
Mm wacha nilale na mechi za Australian Open Qualification:
SportyBet: BCDKMMN
Odds 49+
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ni kweli nilipoteza kiasi hapo ndio maana nikashusha stake ili niuelewe mchezo. Na baada ya kuuelewa nilipandisha stake pole pole na nimefikisha 20k kama faida ila kazi ipo. Kufuatilia ligi ambayo game zake ni 5 minutes sio mchezo.
Karibia zote kasoro Betpawa & M-bet ...Kampuni gani inatoa combination bet ya hivo mkuu?
Yaan DC & O/U?
INTELEJENSIA - KITENGO
Mzee baba shukran sana kwa hii trick,,Mimi mara nyingi nilikua naicheza single bet ya GG nikiwa nataka kukuza kibubu, sikujua kama Kuna option tamu kama hi. So far nshajikusanyia 30k ina 40 mins. UbarikiweMikeka 10
Won 8
Lost 2
Target mikeka 25 per day
Kwenye betting unaposhinda au kupoteza mfululizo umakini huanza kupotea, hapa mpaka baadae tena. I hope kuna waliojifunza kitu kwenye virtual ya betPawa, option ya over 1.5 kwa mechi za England inatoa na hata ukipoteza bado unabaki na faida. Ciao!