haya makampuni tofauti ni kubwa sana ,betpawa unaweza kuta kwenye mechi odds chache lakini wanakupa kiasi halasi,sportpesa odds kubwa ila kuna after bet wanakata kodi,kwahiyo tofauti ndogo sana tofauti ni ujanja wao tu
Kila kampuni inakata kodi Mkuu,
Issue ni kupunguza maumivu ya kodi kwenye Odds kubwa na/au Bonus
 
Mimi nimeweka hela imekubali, kimbembe kinakuja wanakata kodi kubwa, ambayo hata haionekani. Saa zingine unabet ukitegemea kabisa utapata kias gani. Sasa wao kias wanachokionyesha ni kile kabla ya kodi.

Nimesema nitoe hela nayo haitoki.
Duh! Hio kampuni ni ya kuachana nayo kabisa
 
Private jet Mungu asaidie hii safari nifike salama
Screenshot_20211212-175607.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom