Kwanini odds za Yanga zinazidi kupanda tuu?

3740F7E1-172A-4453-BCE7-50C777854508.jpeg
 
Wakuu jackpoti ya sportpesa itachezeka kweli maana game ya spurs na brighton imeghairishwa isije tukaweka mzigo halafu baadae wanatangaza pesa zinarudishwa
 
Wakuu jackpoti ya sportpesa itachezeka kweli maana game ya spurs na brighton imeghairishwa isije tukaweka mzigo halafu baadae wanatangaza pesa zinarudishwa
Hili swali umeliuliza sana humu,iko hz..kama ni game moja huwa inachezeshwa droo ya wazi wanaweka vipira kwenye pot..kwa maana ya ushindi wa nyumbani,draw,au ushindi kwa away..then wana pick..kitakachookotwa ndio matokeo hayo..
 
Wakuu jackpoti ya sportpesa itachezeka kweli maana game ya spurs na brighton imeghairishwa isije tukaweka mzigo halafu baadae wanatangaza pesa zinarudishwa
navyojua sportpesa kama ukishinda halafu timu moja haijacheza wanacheza dro .

Wanaweka kete 3 ya team 1 win ,away team win na kete la draw. Unasema nani anashinda halafu yanachanganywa unapick kete moja ,kama umepata Ile ya timu uliyochagua unakuwa umewin
 
Live casino na timu za mpira zinaingilianaje? Unajua casino wewe?

Haramu kwa mujibu wa nani? Dini yako au? Wengine haiwahusu mkuu

Speaking of betting ni biashara ya mabilioni hawakubali kuliwa kizemne
Je uwekezaji wa timu kubwa za mpira sio biashara ya mabiliioni ya dola? Na unadhani wapo tayari kuja kupata balaa kizembe kama Juve?

Hiyo system uliokazania kwani huwa inawalazimisha hao wenye hela “ndefu” kubet timu kubwa?
Au aliyekudanganya wanye hela ‘ndefu” huwa wanabet timu kubwa tu ni nani?
Usiumize kichwa sana , angalia tu the best tippers uone options zao, kibongo angalia tu akina tipmaster, prof, void, Mayu nk nk hawa angalau ndio tunawaaminia kwa stake zao, angali wanabet options gani huwezi kuta kabet 1x2 au sijui live win

Kwamba wewe mlala hoi unayeishi kwa mpalange unajua zaidi ya hao wenye hela ndefu kuwa wanachezewa michezo na hawajui wanendelea kupigwa

Mnabet kijinga halafu mkilost mnaanza kutengeneza hadithi za kijinga kuhalalisha lost zenu

Acha basi kubet timu kubwa uanze kumbutua kanji kama timu kubwa zina hongwa
We jamaa nimekufatilia sana, inaonekana ni member wa zamani humu ila hoja zako ni za kitoto. Unataka LIGI na kuiendeleza hiyo mada ilihali sioni cha maana mnachojadili.

Unapozungumzia betting unazingumzia libiashara likubwa sana duniani na sio betpawa tu kama akili zako zinavyokutuma ufukiri, hayo makampuni ya betting ni rivals kibiashara ila linapokuja swala la kutetea masilahi yao ni wamoja (tasnia inayotambuana ulimwengu wote).

Sasa wewe ukisikia mtu anasema mechi imeuzwa unakimbilia kusema kuwa eti betpawa ndo kaihonga Beyern😀, mara ooooh kitu hakipo utafikiri una uhakika 100%, hii dunia haiko simple kiasi hicho na usije kuiona betting kama biashara iliyo fair kwa 100%. Kama betting ingekuwa fair katika kila angle, watu wangekula kila leo.

Leteni hoja nyingine bwana, au tupieni tips watu tubeti hiyo mada yani haina tija
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom