Nimejiajiri kwenye kubeti wakuu badala ya kubeti, nimeamua mtu anaweza kunifata namchambulia odds zozote anazozitaka nampatia, akistake chochote kitu akipata atanirudishia fadhira nami nione matunda yangu kwake, sio kwamba najua hapana ni kamari tu ya bahati nasibu ya MUNGU ni mengi, 🙏
 
Huu umalaya walioufanya Man utd washuke ata daraja ilikuwa 6800000 hii
Screenshot_20211207-160356.jpg


Screenshot_20211207-160427.jpg
 
Msaada jamani...natafuta option ya 2 or more goals kwenye 22bet...ipo wapi...nisaidie maana nimeitafuta mpaka nimechoka sioni......
 
Nimejiajiri kwenye kubeti wakuu badala ya kubeti, nimeamua mtu anaweza kunifata namchambulia odds zozote anazozitaka nampatia, akistake chochote kitu akipata atanirudishia fadhira nami nione matunda yangu kwake, sio kwamba najua hapana ni kamari tu ya bahati nasibu ya MUNGU ni mengi,
Kwa Nini wewe usiweke hela yako badala utegemee hela ya kutoka kwa mwingine kwa mkeka wako
 
Mkuu asante..lakini hapo naona imeandikwa each team to score 2 or more...mimi nataka FT yawe magoli 2 au zaidi....je hiyo option uliyonipa ni sahihi?
Nenda kwenye timu za Saudi Arabia zinaanza gozi la kenge saa kumi na moja na nusu! Hata odds za yeyote ashinde yaani 12 zimekaa vizuri
 
Sasa kama watu wanaobahatika kushinda na kukupatia chochote, kwa nini hicho unachopewa usiingize dimbani I nawe uvune pesa yako. Kutabiri ni bahati kwani hakuna anayetabiri anakwenda dimbani, hivyo kubahatisha hakuhitaji mtaalamu wa kumpangia mtu mechi za kushinda! Wewe unatabiri au kubashiri kama sisi wote tuliomo humu, wala huna utaalamu au bahati yoyote ambayo mwingine anashindwa kuipata, la sivyo ungekuwa tajiri wa kutupwa. Kwa hiyo wacha kila mmoja wetu abashiri mwenyewe!
Nimejiajiri kwenye kubeti wakuu badala ya kubeti, nimeamua mtu anaweza kunifata namchambulia odds zozote anazozitaka nampatia, akistake chochote kitu akipata atanirudishia fadhira nami nione matunda yangu kwake, sio kwamba najua hapana ni kamari tu ya bahati nasibu ya MUNGU ni mengi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom