Wazee wa direct win na DC chukueni hii

Game ya Tz vs DRC lazima atakufa mmoja wapo
Kwa jinsi DRC walivyo wazuri kwa mchezaji mmoja mmoja na position waliopo wanahitaji ushindi
Na Tz nayo morali ipo juu sana kushinda
DC 12

Uganda vs Kenya
Kwa jinsi msimamo ulivyo Kenya point 2 tu hata akishinda hawezi kupita angalau Uganda point 8 ana mchallenge sana Mali point 10
Kwavyovyote vile Kenya hawezi kuichukulia uzito mechi hii maana akimfunga au kudraw basi timu zote za east africa kundi hilo yaani Kenya Uganda na rwanda point 1 watakua wamempa tiketi Mali kusonga mbele
Uganda win

Jumla odd 2+
Tia mzigo wa maana agiza pepsi mkubwa wao bariiiiidi au Kili bariiidi

Huu ni mtazamo wangu tu
All ways stake what you can afford to lose
 
Naomb kujua hiv Hawa wanaouzaga odds huko telegram nibkweli au NI matapeli?? Naomba ufafanuzi wakuu

Hao ni wezi hakuna muuzaji hata mmoja.

Kuna rafiki yangu alikuja kunikopa kiasi cha laki 2 bila ya kuniambia anaenda kufanyia nini, kumbe kaenda kuwapa hao jamaa wanaojinadi wanauza odds..

Baada ya kutapeliwa ndo akaja kunielezea kilichotokea. Nilimuonea huruma lakini hakuwa na budi kunilipa.
 
Wakuu niombeeni aiseh, jana nimepigiwa simu kuwa wife anaumwa.Leo ikabidi nitoke Dutwa mpaka Mwanza, nimefika home mida ya saa nne kwa kuchelewa sana kutokana na gari yangu kupata hitilafu njiani.Sasa me nikaona ka yupo poa tu isipokuwa ni deko zake tu,kwahiyo nikapanga kumpeleka hospital kesho.

Daaah nimemlaza kitandani, nikatoka kwenda washroom ile narudi nikakuta anaarusha miguu na anatoa mapovu mdomoni😢, Nimemleta hapa BUGANDO.
Pole sana mku anaendeleaj saivi
 
Hao ni wezi hakuna muuzaji hata mmoja.

Kuna rafiki yangu alikuja kunikopa kiasi cha laki 2 bila ya kuniambia anaenda kufanyia nini, kumbe kaenda kuwapa hao jamaa wanaojinadi wanauza odds..

Baada ya kutapeliwa ndo akaja kunielezea kilichotokea. Nilimuonea huruma lakini hakuwa na budi kunilipa.
Aiseeeee Kuna hatari Sana inatukabili vijana
 
Wakuu niombeeni aiseh, jana nimepigiwa simu kuwa wife anaumwa.Leo ikabidi nitoke Dutwa mpaka Mwanza, nimefika home mida ya saa nne kwa kuchelewa sana kutokana na gari yangu kupata hitilafu njiani.Sasa me nikaona ka yupo poa tu isipokuwa ni deko zake tu,kwahiyo nikapanga kumpeleka hospital kesho.

Daaah nimemlaza kitandani, nikatoka kwenda washroom ile narudi nikakuta anaarusha miguu na anatoa mapovu mdomoni😢, Nimemleta hapa BUGANDO.
Pole mkuu
 
Wakuu tuache utani,hii biashara ni ngumu!!!

🏀🏀🏀 China (CBA) & South Korea (KBL)
IMG_20211111_084155_107.jpg

IMG_20211111_084253_283.jpg
 
Wakuu niombeeni aiseh, jana nimepigiwa simu kuwa wife anaumwa.Leo ikabidi nitoke Dutwa mpaka Mwanza, nimefika home mida ya saa nne kwa kuchelewa sana kutokana na gari yangu kupata hitilafu njiani.Sasa me nikaona ka yupo poa tu isipokuwa ni deko zake tu,kwahiyo nikapanga kumpeleka hospital kesho.

Daaah nimemlaza kitandani, nikatoka kwenda washroom ile narudi nikakuta anaarusha miguu na anatoa mapovu mdomoni, Nimemleta hapa BUGANDO.
Pole sana mkuu
 
Mkuu Kanyimbi naona hizi odds zako zote mbili zilianza safari juzi leo zimeshapita Dodoma. Nilizifata - Naendelea kubana Mbupu ili tufike salama Kigoma.
Poa mkuu.
Zilikuwa Odds 418 nikaja kuedit zile mechi za basket zikabaki odds 108 cha ajabu zote bado zipo hewani. Bana tu Mbupu, Mara nyingi sinaga bahati huwa zinafeli game za mwisho.
 
Wakuu niombeeni aiseh, jana nimepigiwa simu kuwa wife anaumwa.Leo ikabidi nitoke Dutwa mpaka Mwanza, nimefika home mida ya saa nne kwa kuchelewa sana kutokana na gari yangu kupata hitilafu njiani.Sasa me nikaona ka yupo poa tu isipokuwa ni deko zake tu,kwahiyo nikapanga kumpeleka hospital kesho.

Daaah nimemlaza kitandani, nikatoka kwenda washroom ile narudi nikakuta anaarusha miguu na anatoa mapovu mdomoni😢, Nimemleta hapa BUGANDO.
Polee kaka uwe na imani Yesu atamponya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom