unajua ata mimi namshangaa hayo maneno yake ya kujipamba pamba analeta uku ili iweje,tuone kama anajua au vp ? na itatupa faida gani ? wazee wa fixed bana wanambwembwe hatari
FB_IMG_16204413889459236.jpg
 
WAKE UP BRO!
I don't know who need to hear this, but PLEASE
I DON'T REPLY MESSAGE and(it's another reason
of HIDE MY OLD ID)
NA UKIONA NIMEKUJIBU SCREENSHOT LETA USHAHID HUKU
Sasa na ni kwanini unajisifu halafu code hutaki kushare
Sasa si bora ungekaa kimya ujilie kivyako tu
 
HERE WE GO AGAIN!! AGAIN🟢🟢🟢SPORTS TYPEBASKETBALL
MARKET OVER/UNDER
STAKE60,850/=
PAYOUT88,262/=
PROFIT27,412/=
TIME:12min

IF IT DOESN'T OPEN,IS NOT YOUR DOOR
Screenshot_20211108-134055.jpg
 
Sasa na ni kwanini unajisifu halafu code hutaki kushare
Sasa si bora ungekaa kimya ujilie kivyako tu
BRO! I FEEL YOUR PAIN!!

AND I FEEL YOUR JEALOUS! TOO, YOU AIN'T REALLY PUNDITS,IF YOU REFUSE TO TAKE THIS AS INPIRATION.

NINGELETA, LOOSE! LOOSE LOOSE,I SWAER NO ONE WOULD COME WITH BLAME & DOUBT

I Knew it lakini, people like you will come, Because, JEALOUS is HUMAN NATURE since KAIN and ABEL

KAMA UNATESEKA U NEED TO FIX URSELF, THESE KINDA POST NDO ILIBIDI ZIJAE KWENYE UZI NA NDIO MAJOR GOAL

PPPPPssshHh! HUMAN!!!SO ULITAKA NI BET NA KULOOSE, OR JUST BECAUSE YOU ARE USED TO IT

KUHUSU KUJISIFU, NIONYOSHE WAPI NIMEJISIFU, OR JUST BECAUSE AM SMART AT PRESENT MY STAKES,





FB_IMG_16327264947539282.jpg
 
Wakuu jinsi gani naweza kuweka pesa 22bet kupitia M-PESA

NAMBA ya kampuni pamoja na KUMBUKUMBU NAMBA ni nini?
 
Nimebeti online toka mwaka 2014 mpaka leo bado nabeti. Nimebeti kwa kutumia makampuni tofauti tofauti. Lakini kampuni ya bet pawa nimejiunga nao mwezi wa kumi mwaka huu maana ake mwezi uliopita na toka nijiunge sijawahi kula hata mia mbovu. Tofauti na makampuni mengine na nilivutiwa kujiunga baada ya kuona code nyingi zinarushwa hapa na pia watu kuwasifia kuwa wana bonus kibao
ILA Naomba niseme TU KUWA kama kuna mtu (ata/ana)endelea kung'ang'ania betpawa basi kila siku kwake itakuwa ni kilio tu hii ni kwasabbu BETPAWA wan option chache sana na pia ni waoga sana.
mfano. Kuna timu kubwa ikiwa na % kubwa ya kushinda ukitafta option ya double chance hupati ukitafta option ya over/under unashangaa wameanzia 1.5 au 2.5 akati ww ulilenga labda ya 0.5 ili uwe safe zaidi. Naweza kusema kuwa makampuni mengine ya hapa hapa bongo japo hawana bonus nyingi ila wan options kibao na uhakika wa kula upo.
bora nirudi zangu PLAY MASTER ambapo unakutana na options 800+ na endapo kwenye mkeka ikichana timu moja unarudishiw mtaji wako ni hayo tu.

N.b
mimi jana nmejaribu sportybet na nmekula kwa mara ya kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom