Kwa mawazo yangu Atletico Madrid leo atamfunga levante ,mechi iliyopita alidraw ,hawezi kupoteza au kudraw Mara mbili.

Napoli anashinda vizuri tu bila stress
 
9231D06
Chimbekeha na Dabil et al...naomba mniambie mchawi nani kabla sijastake parefu
Hellas verona si wa kumbeza kwa Juve ya sasa kumbuka wanatofautiana kwa point 3 tu,nashauri over 1.5,
Burnley huyu hajapata ushindi msimu huu ila anapoint 4 na mechi ya mwisho katika ligi alicheza na SOUTHAMPTON walitoka 2-2 Akiwa ugenini,
mechi inayofuata na Brentford najua atakaza sana ili ajitengenezee mazingira ila over 1.5 au GG itatoa naamini,
Barcelona bado haijawa katika form sidhani kama anaweza kushinda kumbuka mechi mbili mfululizo amepoteza katika ligi amefungwa magoli 3 yeye analo 1.
 
Hakika mkuu
 
Burnley vs Brentford hapo heri over maana Brentford yuko on fire anaweza kumfunga burnely .

Krasnodar naye haieleweki ,halafu huyo mwenzake karibia kawapiga wakubwa wote
Sawa mkuu..Ntawatoa kabsa..zibaki rimu kadhaa za uhakika.
Krasnodar nimempa sababu anacheza na Kitoga kapanda Daraja..ila sio kesi wote ntawatoa hao.
 
Aisee huyo siyo kitonga alishashuka akarudi ligi kuu,Ila we angalia but hiyo mechi hata akashinda atakupa stress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom