Hatukumuona,Fulham Anaua huko Aiise
Mie nili bet 2 nilicho kuta Lost mainiKanibakishia huuView attachment 1985493
Mie nimemuona alivyo anza kufunga sikujua hata kama anacheza leo
monaco inaongoza2Napiga cash out hapa nipate elfu 4 niendelee na safari
monaco siiamini kabisaaa
View attachment 1985466
😃😃😃😁😁😁Ptuuu betting
Unachamambua mechi 15 za over 1.5 unapunguza 5 zinabaki 10 kwenye hizo kumi 1 inachana ukicheki matoleo ya zile 5 zote zimetiki😃😃😃😁😁😁
Nacheka kama furaha vile. Hiyo ndio k,,a,,m,,a,,r,,iUnachamambua mechi 15 za over 1.5 unapunguza 5 zinabaki 10 kwenye hizo kumi 1 inachana ukicheki matoleo ya zile 5 zote zimetiku
HahahahahUnachamambua mechi 15 za over 1.5 unapunguza 5 zinabaki 10 kwenye hizo kumi 1 inachana ukicheki matoleo ya zile 5 zote zimetiku
Punguza hasira ndugu,Daaa huu mkeka kila nikiuangalia hakika Atalanta alaaniwe maisha yake yote na ashuke daraja kabisaView attachment 1985539View attachment 1985540View attachment 1985541