Kuna game inaenda kuangusha treni flani hivi... Kawasaki vs shimizu
Nilikuwa namzungumzia Kawasaki hapo juu,timu inaongoza ligi lakini haitabiriki kila mechi ,amenichania sana mikeka huwa hata apewe odds ndogo simbeti
 
Wadau naomba mnieleweshe, account yangu ya betpawa haitoi cash out hata kama hakuna mechi inayocheza. (Inasema cash out unavailable try again shortly)

Shida inaweza kuwa nini kwa nyie wazoefu?. Natumia halotel
Siyo mikeka yote inacashout option, na siyo wakati wote unaweza kucashout. Kuna muda inakubali/kukataa kulingana na muda wa mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom