Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,953
- 2,431
Kachana huyu psv nae anaelekea kuchanaAc Milan naye dah kashapigwa na Verona 2
Kachana huyu psv nae anaelekea kuchanaAc Milan naye dah kashapigwa na Verona 2
Sema nimejifunza pakubwa sana, kuanzia sasa ntakua nakusanya codes za wadau naziedit zotee nipate odds 10 tu kisha nalipuka.
Shusheni codes
Ni solution, mwanga nimeuona humu. Kuna watu wanasuka mikeka fresh kwahiyo unapunguza na kuweka mawazo yako.Hiyo sio solution mkuu,endelea kuwa mvumilivu
A1FA3C2
Kubet ni bahati nasibu
Correct scoreA1FA3C2
Kubet ni bahati nasibu
Jioni kabisa katikiAc Milan come back ya nguvu
PSV comeback ya nguvu
Kumbe nilimuweka na Real sociedad aiseee siku ya kufa nyani
NdioMkuu hii ni betpawa au
Sociedad kwa mbindee ananipa ka hela ka supu, aisee timu 3 zimeshinda kwa presha sana. Betting inaweza kukupunguzia nguvu za kiume.Jioni kabisa katiki
GoodSociedad kwa mbindee ananipa ka hela ka supu, aisee timu 3 zimeshinda kwa presha sana. Betting inaweza kukupunguzia nguvu za kiume.
Ac Milan kutoka 2-0 hadi 3-2
PSV kutoka 1-0 dakika ya 82+ hadi 3-1
Sociedad dakika ya 89 ilikua nyau nyau
Mrejesho vp?Mkuu ninashida na odd 2.30 naomba msaada