wanaharibu mbayaWakuu hizi team za Africa sio bora hata waarabu
Hongera kwa kutengeneza mtajiKuanzia jana sidhani kama kuna code ya betpawa ambayo sijacopy huku ila moja tuu ndo imetiki
Pole, me nimebaki na mikeka mitatu kati ya 14 niliyopata humu JFnimechoka betting inaninyanyapaa sana
noma sana,team zenye uhakika zinapinduka ,ukiziwekea team zisizo na uhakika nazo zinapindukaPole, me nimebaki na mikeka mitatu kati ya 14 niliyopata humu JF
Betpawa hamna hockeyWajeruman nao si wahaba w over 4.5View attachment 1970487