Weka code mzee baba
Haya mambo hayaCentral african republic alikua na odds 19...Nigeria kaliwa kichwa..
Huu ngoja nipande nao
Pole mkuu, mimi huwa napata humu mikeka, naigeuza kidogo napata kitu. Kuna kipindi nilipigwa mpaka nikatamani kuacha bettingSijui mara ya mwisho niliwithdraw mwezi gani, kila siku ni mwendo wa kudeposit tu
codes mkuuTele kwa tele hiyo,
ukiweka teni kesho unaamka na 22000 na ya kutolea pia ipo hapo.View attachment 1968446
Sent using Jamii Forums mobile app
code mkuu
Ujerumani vipi hukocode mkuu
Nimekuvulia kofia kwny Ice Hockey mkuu ... shukrani nyingi kwako
Hii kauli inataka kuwa haiSina imani na German hapo ,anaongoza kundi kwa point kubwa sana utashangaa wanaweka hata kikosi b
Timu ikishakuwa haina cha kupoteza inatia hofu hata morali inashuka,utashanga ili wasiharibu sana wanatoa draw
Nilicashout pesa niliyodeposit then nikaitoa German kwa kile ulichokisema kilinipa mashaka nikafanya maamuziTimu ikishakuwa haina cha kupoteza inatia hofu hata morali inashuka,utashanga ili wasiharibu sana wanatoa draw