jaribu mitambo kwa 940
Screenshot_20211007-144816_1xBet.jpg
 
Nauliza tu, hivi kuna bettor ambaye hajawahj kubadili kampuni? Kama yupo njoo pm nikupe zawadi
Mkuu me sikuwa nabadili tu, bali nilianza kubet na mkeka bet mwaka 2018 kombe la dunia. Alinifundisha mdogo wangu, baada ya fainali kuisha nikaacha maana sikuona faida. Mwaka 2019 jamaa flani akaniambia habari za jackpot, nilikuwa siijui kabisa jackpot maana mkeka bet hawana. Akaniambia sportpesa ipo na akanifundisha. Kuna siku akanishauri nijiunge na mbet bet na wao wanayo jacpot ya bei rahisi tu kuliko sportpesa., mwaka 2020 nikasikia unaweza kubet hata kwa sh. 50. Ndio nikaingia betpawa
 
Naaaam maisha ni kujaribu aisee
 
Betpawa unaweza kubet kuanzia sh 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom