Wadau hivi kuna mtu anawajua hawa mambobet, nimebet jackpot yao nimepata mechi 10 lakini holaaa sioni mkwanja au mpaka mechi ngapi maana zipo 17
Chek fresh maelekezo kabla ya kubet. Mechi 10 ni chache sana kupewa bonus. Mara nyingi makampuni mengi yanaanza atleast mechi 15 ikiwa 17 zinacheza. Siijui hiyo kampuni uliyotumia lakini naamini
 
Jamani hakuna msamaria mwema wa kunipa jibu?
Jitahidi kupitia hapo kurasa 10nyuma..utakuta wamegusia Ilo swala...well IPO hivi..over 1.75 ukibeti mechi ikitoa goli mbili odd yake unapata Ila divide by 2..mechi ikiwa goli Tatu umeshinda full..mechi ikiwa goli Moja..means umeliwa
 
Wadau nisaidieni hapa. Option yangu ni 1.5 over ila hapo naona imeanzia 1.75 over. Nikiselect hiyo 1.75 na magoli yakiwa mawili itakuwaje? Nitaliwa au? Msaada please.View attachment 1936940
Mkuu achana na sportpesa kama ni mdau wa over, wamekuwa waoga sana wa kuliwa siku hizi hadi wameamua kuchanganya ASIAN OVER/UNDER na NORMAL OVER/UNDER ili tu kama ulikuwa na nafasi ya kula mgawane pasu.

hiyo over 1.75 ipo hivi, kwa mfano uliweka TZS 10,000 kwa over 1.75 na matokeo yakawa hivi:
SIMBA 2-0 YANGA
Tuchukulie hiyo option ilikuwa na odds 1.20

SOLN
Formula
Kwa hayo matokeo maana yake half stake win half stake refund
Stake 10,000/2 = 5,000
Half stake refund: Kwa hiyo nusu ya stake itarudishwa kwenye akaunti yako.
Half stake win: 5,000 × 1.20 = 6,000

HALF REFUND 5,000 + HALF WIN 6,000

Answer = 11,000

Yaani hapo sportpesa wakiweka over 1.5 utapata FULL WIN kwa hayo matokeo kitu ambacho hawataki kwa timu zenye mwelekeo wa kutoa
 
Hapo sijatoa kodi 15% ya faida TZS 1000 = TZS 850

Kwa hiyo
kwa stake ya 10,000
kwa over 1.75
odds 1.20
matokeo 2:0
Utapata 10,850
 
Hapo sijatoa kodi 15% ya faida TZS 1000 = TZS 850

Kwa hiyo
kwa stake ya 10,000
kwa over 1.75
odds 1.20
matokeo 2:0
Utapata 10,850
Hahaha nashukuru sana mkuu! Kumbe wanaogopa kupigwa lakini wao wakitupiga tamu kwao
 
Leo namna hii
20210914_151008.jpg
 
Mkuu achana na sportpesa kama ni mdau wa over, wamekuwa waoga sana wa kuliwa siku hizi hadi wameamua kuchanganya ASIAN OVER/UNDER na NORMAL OVER/UNDER ili tu kama ulikuwa na nafasi ya kula mgawane pasu.

hiyo over 1.75 ipo hivi, kwa mfano uliweka TZS 10,000 kwa over 1.75 na matokeo yakawa hivi:
SIMBA 2-0 YANGA
Tuchukulie hiyo option ilikuwa na odds 1.20

SOLN
Formula
Kwa hayo matokeo maana yake half stake win half stake refund
Stake 10,000/2 = 5,000
Half stake refund: Kwa hiyo nusu ya stake itarudishwa kwenye akaunti yako.
Half stake win: 5,000 × 1.20 = 6,000

HALF REFUND 5,000 + HALF WIN 6,000

Answer = 11,000

Yaani hapo sportpesa wakiweka over 1.5 utapata FULL WIN kwa hayo matokeo kitu ambacho hawataki kwa timu zenye mwelekeo wa kutoa
Brother Chen Hu sasa tukiacha sportspesa ni kampuni ipi nyingine nzuri namaanisha ambayo ina option nyingi na pia ni wazuri kwenye kutoa hela fasta maana sportpesa siku hizi wanalazimisha kula hela za watu yaani over wanaanzia 2.5 halafu under wanaishia 4.5 sasa kama sio kutaka kula hela za watu kinguvu ni nini hapo
 
Betpawa wanajitahidi lakini hawanaga option nyingi. Upande wa pesa wapo fasta na kuwithdraw na free hakuna makato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom