Treni Odds 120+.. 🔥 🔥
View attachment 1933395
Naona 'at last' Mirandes na mwenzake walipindua treni yetu.. lakini wametoa 'Free bet' za TZS 9k kwenye TZS1k.. :p
1631425799546.png
 
Naombeni apps nzuri za kubet hasa zenye option ya cash out na ziwe na option za kuweka na kutoa hela kwa mitandao yetu ya simu ya hapa Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom