Ila betting bhana

Usiku huu nimeweka mechi tatu tu,za over 3.5 nikaweka 5K ikaja 271,000....mechi mbili zikatiki nikaogopa kusubiri hiyo moja nikaona nicash out nikapewa 79K

Naangalia hiyo mechi niliyoogopa nayo imetoa over 3.5
Hongera
 
Kwenye odd ndo hua naogopa bt zinatoa hebu chambua za kesho mkuu napigwa mno mpaka leo nimeenda kwa mwamposa kuchukua mafuta na maji ya upako
Kesho(leo) nimeweka over 3.5 mechi za China super league,ziko nne...odds 170+

Nitaweka na treni la over 1.5
 
Kesho(leo) nimeweka over 3.5 mechi za China super league,ziko nne...odds 170+

Nitaweka na treni la over 1.5
Tuma mkuu maybe ntachomoka nilifuata tren lako ila sijui liliangukia wapi nilikuta tuu mkeka haupo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom