huu wa pili utazame tena hapo nmepita odds 1.50 nnayokwambia
hizo
Screenshot_20210719-193803_22Bet.jpg
Screenshot_20210719-193809_22Bet.jpg
Screenshot_20210719-193812_22Bet.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210719-193809_22Bet.jpg
    Screenshot_20210719-193809_22Bet.jpg
    35.9 KB · Views: 3
Nilikuwa namtazama Abas Tarimba hapa EFM anaongea kuhusu maswala ya kubeti
- kubeti SPORT sio kamari, ni uwekezaji ndio maana inabidi uwe apdated na taarifa zote muhimu za timu unazobetia kama usajili mpya, kikosi injuries nk. Barcelona akicheza na Liverpool usimbetie tu Barcelona kwa sababu unaifahamu, angalia taarifa muhimu za vikosi.

- Mchezo ya CASINO ina adiction mbaya, kuna watu huwa hadi wanazuiwa kucheza kwa sababu ya ku-chase lost. Ukiona umefikia hatua hiyo omba msaada hata kwa ndugu wakudhibiti, picha yako itabandikwa kwenye milango ya CASINO ili ukiingia uzuiwe.
Yeye Tarimba hadi anatoka pale gaming board kuna watu wawili watatu walikuwa wamezuiwa kucheza kwa sababu ya adiction.

- Yeye Tarimba anapenda hii kodi 15% ishuke zaidi kwa sababu kuna wabetiji wakubwa ambao amewaita high rolles wanabeti makampuni ya nje ambayo hayatozi kabisa kodi kwenye ushindi, so serikali inapoteza hela.
Kumbe kubeti sio kamari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom