Dah ! Too sad! Uzi umeanza kupoteza mvuto. Yaani watu mnashinda kumjamdili mtu, ambaye pengine akusaidii chochote katika maisha yako. Ye anachofanya ni kushare his tips kama ilivyo kwa wengi humu ndani. Iwe ni Won au Lost yote ni matokeo ya betting.

Muhimu mtu anaposhinda jifunze kutokana na mbinu aliyoitumia na hata anapopoteza jifunze pia. Tuendelee kupeaba hizo tips na tuache kuwajadili watu.
Wauza tips HAOOO wasikuumize.kichwa jifunze.kutowajibu m nawawekea.emoji
 
fanya hivi chukua mechi yeyote unayosema imelimitiwa kisha weka amount yko tuone limit yko na mimi mechi hiyo hiyo niweke amount yng ili tulinganishe kama limit zipo sawa
KIKUBWA UNATAKIWA UELEWE BET LIMIT HAINA UHUSIANO WOWOTE BAINA YA ACCOUNTS MBILI TOFAUTI, UKISHAELEWA HILO HAUTAKUWA NA HAJA YA KULINGANISHA VITU VIDOGO VIDOGO KAMA HIVYO.
 
Rt

IMG_20210628_140823_026.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom