pesapesa50
Member
- Mar 29, 2021
- 19
- 29
cjaelewa hii un bet kona kvp?80k kibindoni,kazi iendeleeView attachment 1787820
cjaelewa hii un bet kona kvp?80k kibindoni,kazi iendeleeView attachment 1787820
Bora atupe somo.cjaelewa hii un bet kona kvp?
atupe maan mambo ni mengi, barca leo katuvua nguo...aiseeBora atupe somo.
Mfano hapo PSG apate Kona 3 na kuendelea kwa 1half Ila akipata kona mbili unarudishiwa ela yakocjaelewa hii un bet kona kvp?
Acha kupotosha 3way zikitoka 2 loss nimeshaloose sana kwa 3way mkuuMfano hapo PSG apate Kona 3 na kuendelea kwa 1half Ila akipata kona mbili unarudishiwa ela yako
Mfano hapo PSG apate Kona 3 na kuendelea kwa 1half Ila akipata kona mbili unarudishiwa ela yako
Hizi unacheza live mkuu80k kibindoni,kazi iendeleeView attachment 1787820
ila mhindi... kuna mkeka umeletwa na mtu hapa hii milan anakosa 1.5 kweli. lak yanguAc Milan anawapa hi.....
Duuuu...pole sana.ila mhindi... kuna mkeka umeletwa na mtu hapa hii milan anakosa 1.5 kweli. lak yangu
Hata Mimi lost ka zoteAcha kupotosha 3way zikitoka 2 loss nimeshaloose sana kwa 3way mkuu
Kampuni gani una tumia kuweka mkeka?Acha kupotosha 3way zikitoka 2 loss nimeshaloose sana kwa 3way mkuu
Aiseeh mbona limejaa?Kwa wale mlioomba kujoin grp la frank na wataalam wengne link hii hapa ila inakuwa-revoked very soon so jiunge na kuna sheria kali sana mambo ya wale wa kufatana inbox cjui save namba tujuane,,wengne wa kuomba mitajini mwendo wa BAN admin anaroho mbaya kama muisrael
NoHizi unacheza live mkuu
🏀🏀🏀🏀 NBA
View attachment 1787555
LOS ANGELES LAKERS ( TOTAL: 1H- Over 53.5👉 22bet ⛹️♂️
View attachment 1787557
DENVER NUGGETS( TOTAL: 1H- 53.5 👉22bet⛹️♂️)
View attachment 1787559
BROOKLYN NETS (TOTAL: 1H- over 53.5 👉 22bet ⛹️♂️)