Overs za Leo.. Odds 50+ unaweza kuzigawa mara 2.. Code 998-S715901032

1621001130443.png
 
Wadau katika pitapita zangu nimekutana na mbinu nzuri ya kutengeneza 1m kwa siku kumi.

Kizuri kula na mwenzio.
Odd 2 daily au odd 2 kumi kwa siku. Naona huko kwa group migame kibaoooo au unasema unatengeneza odds 2 daily kwa siku 10. Weka odd 2 tu kwa siku kwa siku 10 ndo useme unatengeneza 1m kwa siku 10. Rollover sio mchezo dada mtamu. Nawakilisha

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nilivyowaelewa unachagua 2 utakazo. Sijui lakini sijajaribu.ndo nineiona leo hiyo channel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom