Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,685
- 71,548
Hahaha kumbe kuna kampuni zenye upepo?Ila tangu nimeanza kuifuatilia Betpawa naona ni kampuni yenye upepo sana! Yani kushinda ni kama kuna wepesi flani compared na makampuni mengine ya kibongo ila tatizo tu kodi ndio kitu sikipendi kwao!