Basi ni code tofauti,sio hiyo uliotag hapo, japo hata huu ni kama umecrop
Tuna fanya hivyo kulinda utambulisho wetu SI vingine
Kusema Basi lilikua refu limekatwa NO
Screenshot_20210512-211944~4.jpg
 
Duuh hii imechana. Sijaelewa yaani goalkeepers wote wawili wameshika mpira mmh
Yani maana mpira ulicheza ukaenda goli A halafu ukarudishwa kati ukachezwa mpaka goli B ndani ya dakika 3!

Option nzuri kwa timu ambazo wanaumiliki mpira hawabutui butui kumrudishia kipa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom