TUENDELEE NA KAZI
IMG_20210512_104516_287.jpg
 
Inabidi tukawaandikie awa bet 22 ujumbe umu wote tunaotumia bet22 kuomba wajitoe na Hawa M Lipa Maana wanachelewesha mambo na code zao zipo juu sana kwanini wasifanye kama makampuni mengine local inabidi tuwawaombe kwa pamoja jaman haiwezekani kudeposite makato yawe makubwa vile na kuwithdrawn ichukue adi week mambo gani ayo
 
1xbet is the best
 
Yan wabongo vichwa vigumu kwel sasa ww makampun ya kubet yapo zaid ya kumi na unakumbana na matatzo hayo hayo kila siku SI UHAMIE kampun nyingne ndugu?
 
Mkuu hapo tukisha ingia tunafanyaje?? Nielekeze kidogo account ninayo
Fuata maelekezo hapo chini.
Weka Bet ID yoyote uliyowahi kubeti wewe wiki hii hata kama haukula ela ya mhindi, kisha hiyo namba iweke hapo (Mfano. #1648890965) Kisha kuna sehemu hapo chini utaandika Jina lako na namba yako ya simu. Mchezo umeisha.
Ukitaka kuwatag na watu wengine wawili unaruhusiwa maana kuna link hapo mwisho.
 
sijaelewa kbs mkuu toa ufafanuzi kwa kina
 
Dah! Yaan nikiweka mkeka humu lazima naliwa, lakin nisipoweka nabamiza kweli kweli 🔥 🔥

IMG_20210512_140735.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom