Tujaribu hapa
Screenshot_20210506-200310.jpg
 
mwenye account na wanaotumia betpawa pls.. huna haja ya kuweka mkeka , ingia tu kupitia hio link alfu logout, lengo ni kuongeza nafas ya kushinda hizi prizes
Mbona kwangu kule chini kabisa inaandika COOKIES DISABLED ila nikiangalia setting za site cookies zipo enabled?
 
mwenye account na wanaotumia betpawa pls.. huna haja ya kuweka mkeka , ingia tu kupitia hio link alfu logout, lengo ni kuongeza nafas ya kushinda hizi prizes
Kivipi yani bila kuweka mkeka, na wenyewe wanasema uweke mkeka,
 
Habarini wadau, naomba kuuliza hivi hawa jamaa wa telegram ni wa kweli? Kuna mtu ashawahi kununua tiketi zao na akashinda? Maana mimi nimo mle kama mtalii naona admin kila siku anapost odds za kutosha na kesho yake anaweka mkeka umetiki. Kuna ukweli ndani yake au ni scammers?
View attachment 1775141View attachment 1775143
Ukiliwa mara 2 utaelewa, ivi ivi inaonekana umegoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom