IMG_9741.png


V9RX9

40%

Only stake what you can afford to lose
 
Jambo usilolijua,ni sawa naaa..

Aisee kwasasa dunia yote imehamia uku usikute ata mzee wako anabet awa wazee wa nchi wanabeti,wafanyakazi wanalilia mishahara iongeze wanabeti wasanii wetu wa bongo 90% ndo usiseme wanabet kupita maelezo jambo yltunafikiri ni kwamba kubet ni wanaobeti mpira tu awa watu wazito wanapendelea michezo ya casino
Nasema uongo ndugu zangu?
FB_IMG_16203074747728762.jpg
 
Habarini wadau, naomba kuuliza hivi hawa jamaa wa telegram ni wa kweli? Kuna mtu ashawahi kununua tiketi zao na akashinda? Maana mimi nimo mle kama mtalii naona admin kila siku anapost odds za kutosha na kesho yake anaweka mkeka umetiki. Kuna ukweli ndani yake au ni scammers?
View attachment 1775141View attachment 1775143
Mkuu usidanganyike, mwaka jana nilipigwa elfu 30 huko telegram, baadae jamaa akaamua kuniblock. Niliumia sana sana
 
Tumerudi tena bet na meridianbet jisajili ule upate mkwanja wa 3500 kama welcome bonus PROMO CODE 9124
DEPOSIT angalau buku kwa tigo pesa, mpesa au airtel money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom