DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,485
- 99,204
Hii game inanoga Sana uicheze live in play.Usicheze option ya mshindi wa mechi kwenye hiyo game mkuu. Me naona corner na shots zitatufaa.
Shots, corner, fouls na card Ndo mpango mzima
Hii game inanoga Sana uicheze live in play.Usicheze option ya mshindi wa mechi kwenye hiyo game mkuu. Me naona corner na shots zitatufaa.
PSG shorts on target over 3.5 in 1.50 hii option unaionaje?Usicheze option ya mshindi wa mechi kwenye hiyo game mkuu. Me naona corner na shots zitatufaa.
Psg kwa usalama zaidi anafaa umpe na goli 2 kibindoniSisi wengine tunaweka hela nyingi kwa hiyo punguza masihara ya kuendelea kumtajirisha muhindi, ww unaweza kuweka 100k ukampa psg?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa nataka niweke shots then niende na corner mechi ikianza.Hii game inanoga Sana uicheze live in play.
Shots, corner, fouls na card Ndo mpango mzima
Beba hiyo mzeePSG shorts on target over 3.5 in 1.50 hii option unaionaje?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ngoma imetoa hao jamaa wapo vizuri...endelea kuwa unashare bro tupunguze machungu mdo mdo
Hiyo option ya mwisho ya shoots all -1.5 maana yake nn?Tofauti hii mbona kubwa sana ya odds kwenye handcap? Odds mlima Hawa ni parimach pia Wana renji kubwa na wengine NI 1xbet.View attachment 1773464View attachment 1773465
Hapa huyo wa -1.5 amepunguzwa mashut 2.Hiyo option ya mwisho ya shoots all -1.5 maana yake nn?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
MKUU naomba unipm namba yako nipo tayari kulipia mkeka wako.Kama roho yako nyepesi ishia team 4 ama 3 tu Ila stake iliyonona,wenye roho ngumu na marisk takers basi suka mkeka wa team 7-9. Weekend waweza suka kokoro hadi la team 12-13 although too risk,stake isiwe kitita. KAZI IENDELEE WADAU
View attachment 1772581
Usiige kunya kwa tembo baba siku ukijichanganya tu unaliwa ad map**u, kila mtu ana nyota yakeMKUU naomba unipm namba yako nipo tayari kulipia mkeka wako.
watu wapo serious na kutafuta pesa ww unaleta utoto.May Madness Giveaway
May is here, madness is in the air and we’re giving away lots of cool prizes. Place any bet, opt in to our May Madness Giveaway prize draw and you could win one of these: 10x Samsung S20 FE 5G 3x Samsung 40" LED Smart TV How you can win Place any Sports or Virtuals bet on betPawa Enter your Bet...wn.nr
Gusa link hiyo kuingia kwenye draw ya betpawa ya kushinda Samsung Galaxy S7 edge
Tuwe wavumilivu, mpaka akawa analeta hapa, pengine ndo njia aliyoona inafaa.. sasa hayo ya kushare link ya nini?Tunaomba link ya hilo group mkuu