umekufa kibabeeee
Nilienda kucover dakk 82
Screenshot_20210309-104731_1xBet.jpg
 
pia nlipost humu kwa kuzisema hizi kampuni za kubet huenda wabatufanyia hujuma tu..coz ktl hiyo game sijaona statistics..wala goals scorers wowote..yaani naona magoli yanaingia tu..mfungaji humjui..KAMA PIA HILO NI KOSA..

Poa mkuu,huo ulikuwa mtazamo wangu tu,ila sina nia mbaya
 
mkuu makampuni mengine kuweka au kutoa pesa ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuna njia mbadala labda hujazijua! Watu wanadeposit 1x bet kwa njia ya wakala! Mawakala wapo humu kibao wanajitangaza daily! Ukiachana na wakala pia kuna 22bet inafanana kila kitu exactly kama 1x bet ila wao tu unakatwa kodi! Lakini njia zao za kudeposit zipo wazi kabisa mitandao yote ya kibongo ipo ndani ya dakika 1 unadeposit na kuwithdraw! Sasa wewe Endelea kulalamika ndio maana watu wanakupita tu kama hawakuoni vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom